Description
Ufafanuzi wa Biblia katika Mazingira na Utamaduni wa Kiafrika
Juzuu Moja la Ufafanuzi. Kimeandikwa na wasomi 70 wa Afrika
Kitabu hiki ni kitabu cha kipekee kuwahi kuchapishwa – kinahusu ufafanuzi wa Biblia katika juzuu moja lililotolewa kwa mara ya kwanza hapa Afrika na wanatheolojia Waafrika ili kuyakidhi mahitaji ya wachungaji wa Kiafrika, wanafunzi na viongozi wa kanisa.
ISBN 9789966805126
Mwandishi: Tokunboh Adeyemo na wengine 70
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.