Hatutaki Dini Yenu Wazungu
Sh3,500 Sh2,500
ISBN: 9976948298
Kurasa:50
Kimetafsiriwa kutoka: We dont Want Your White Religion.
Description
Ni kitabu cha uinjilist, kwamba watu wote wamechaguliwa na Mungu, Kitabu kimeandikwa kwa watu wote katika Amerika, Afrika, ulaya ,Asia nk.
Mafundisho yaliyomo yanamsaidia msomaji kuondoa taswira ya kwamba Mungu ana rangi gani? Je Yesu alikuwa wa taifa gani, Je wokovu ni kwa wote au kwa watu. Pia kinasaidia uelewa pale picha nyingi zinazokuwa ni za wazungu wazungu.
Je Mungu ni wa wazungu, na dini je ni za wazungu.
Mafundisho haya yanasaidia sana wamisionari kuelewa mazingira mbalimbali katika kazi zao.
Mwandishi: Bruce Britten
ISBN: 9976948298
Kurasa:50
Kimetafsiriwa kutoka: We dont Want Your White Religion.
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.