Jemedari Mwema
Sh22,000 Sh20,000
Description
Je unajua kwamba maisha ya mwanadamu ni vita? tupo vitani hata haijalishi tumechagua kuwa vitani au la.. Biblia inasema maisha yako ni vita. Ni sharti upigane vita vilivyo vizuri na ushinde vita. Mwandishi anasisitiza kama kiongozi ni lazima ushinde vita.
Mwandishi wa kitabu hiki kikubwa anatamani kila kiongozi katika kanisa, Huduma, familia apate kitabu hiki ili ajue sayansi iliyopo kwenye uongozi.
Mwandishi: Dag Heward Mills.
Page 443
ISBN: 9781683983019
Tag: sayansi ya uongozi