Description
Je unataka kuoa au kuolewa?
Je unataka mwenzi sahihi?
Je unafikiri uko tayari kwa hayo?
Kitabu hiki kinajibu maswali haya kwa ubana na kwa njia raisi kabisa. Kinafundisha namna Mungu anavyowaongoza wanae katika hatua hii muhimu ya kuoa au kuolewa.
Kinafundisha pia namna ya kufanya maandalizi kabla kuingia katika hatua hii ya kuwa na mwenza wa maisha yako milele, namna kijana ajiweke tayari kwa ajiri ya majukumu katika ndoa, sifa za mke bora, sifa za mume bora.
Pia kinaelezea nafasi mbalimbali kwa watu kujihusisha katika ndoa kwa namna moja au nyingine, namna ya kukaa na wakwe vizuri, namna ya kukaa na ndugu wa mwanamke na namna ya kukaa vizuri na ndugu wa mwnaume. Kinanafundisha kwa nini na namna ya kukabiliana na ugumba au kukosa nguvu katika mahusiano katika ndoa.
Mwandishi: Malack E. Bayaga
ISBN: 9789987853151
Kurasa: 143.
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.