Kurani Na Biblia
Sh2,500 Sh2,000
Mwandishi: Sultan Muhammad Khan
ISBN:9966895388
Kurasa: 38
Description
Kurani na Biblia, watu wachahe wamechukua jukumu la kujifunza vitabu vya kidini kwa uangalifu na kuwa na mpango jinsi Sultan Muhammad khan alivyofanya. Hata hivyo wengi tunafahamu mapambano yanayoelekezwa na maneno haya ya hekima .
“Nimenaswa na mambo manne, shetani,ulimwengu,tamaa na uchoyo. Ninawezaje kuwekwa huru na maadui hawa? Matamanio maovu yananivuta kwenye giza la anasa na raha”
Fuatilia mafundisho ya kitabu hiki ili ujue ukombozi,furaha, na amani na upate majibu ya ukombozi kwa maisha yako.
Hiki ni kitabu kidogo cha uinjilisti wa Waislamu. simulizi zuri la Muislamu(mwandishi wa Kitabu) aliyepatwa na mambo mengi ya dini na kifikra na baadae kumfuata Yesu Kristo.
Mwandishi: Sultan Muhammad Khan
ISBN:9966895388
Kurasa: 38
Mwandishi: Sultan Muhammad Khan
ISBN:9966895388
Kurasa: 38
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.