Kushiriki Injili Na waislamu
Sh7,000 Sh5,000
Kushiriki Injili Na Waislamu, inakuchukua kwenye safari ya Biblia na kufunua njia mwafaka za kuwashirikisha Waislamu Injili ukitumia mafundisho yanayopatikana katika Uislamu na ukristo. Kitabu hiki kimejumuisha baadhi ya mafundisho ya Agano la Kale na Unabii kuhusu kazi ya ukombozi ya Yesu Kristo na jinsi ya kutumia mafundisho ya yesu katika Agano Jipya kuhusu neema yake kuu ya ukombozi kwa wanadamu wote. Kitabu hiki kina maelezo maalum ya kibiblia kwa wanjilisti wote wanaowafikia Waislamu. Kinakusaidia utumie kifaa muhimu sana cha Mungu kwa ajili ya kuwafikia Waislamu na Injili na kuwaleta kwa mwokozi wa ulimwengu.
Mwandishi:John Gilchrist
ISBN: 9789966895424
Kimetafsiriwa: Sharing the Gospel with Muslims (engl)
Kurasa: 150
Description

You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.