Maombi Ya Kuharibu Nguvu Ya Kinywa Cha Kichawi
Sh10,000 Sh8,000
Description
Kitabu cha maombi ya kuharibu na kufuta maneno na kichwa cha kichawi. Kumbuka Maneno huumba kitu. Na kitu kinachosemwa na mchawi ni laana na makufulu. Kinywa/ulimi ni kiungo kidogo katika mwili wa mwanadamu lakini kinaweza kuwa chanzo cha baraka au matatizo katika maisha ya mtu. Mungu kwa kinywa ameumba kila kitu, pia mwanadamu kwa kinywa amepewa uwezo wa kuumba kila kitu.
Pata kitabu hiki kuksaidi katika maisha yako ya maombi ya kila siku.
Mwandishi: Bishop. Dr J Gwajima.