Description
Mafafanuzi ya kitaalamu na kitafiti ya namna huduma ya mtoto iwe bora na endelevu. Kinafundisha namna ya kujua mahitaji ya mtoto, malezi yao.
Pia namna huduma ya watoto makanisani ilivyo na inapaswa iwe.
Kitabu hiki kikubwa kinawafaa watumishi makanisani wenye wito na huduma ya watoto, Pia watendaji kwenye mashirika yanayowahudumia watoto na watu wote kwa ujumla ili waweze kujua malezi bora ya watoto.
Kitabu hiki ni mzingi mkubwa na imara katika kuwafahamu, kuwafundisha na kuwalea watoto katika misingi bora.
ISBN:9987125119
Mwandishi: Dr Emmanuel D. Mbennah
Kurasa: 324
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.