Description
Kitabu kinaeleza umuhimu wa Mwanamke kuwa ni chanzo cha taifa, kwani bila uzao wa Mwanamke hakuna wananchi, kwamba hatma ya Taifa inategemea malezi na maadili mema anayo yatoa Mwanamke kwa mtoto.
Kinafundisha jinsi gani Mwanamke anaweza kulea vizuri familia yake, Baba, watoto na kutambua mambo mbalimbali kwa malezi ya mtoto.
Nini kusudi la Mungu kwa Mwanamke, Mwanamke kazi na familia, Sifa na tabia za mtoto, Mama mtumishi wa Kristo, na pia kinafundisha namna ya kumsaidia mtoto aliyepitia mazingira magumu,kutambua mahitaji ya mtoto
ISBN: 9987425097
Mwandishi: Bibi Ruth J.E Mbennah
Kurasa:79
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.