Description
Kitabu cha Mwongozo kwa Familia ya Kikristo. Kinafundisha kwa kina utamduni wa kiafrika lakini badla ya kutegemea mila na desturi za kiafrika, Mwandishi anaonyesha familia ya kikristo ni nini hasa, Anamsaidia kuyafikiri na kujadiri matatizo ya kifamilia kwa kutumia neno la Mungu kama mwongozo. Lengo la maelezo na mafundisho haya ni kuwa na familia yenye furaha na familia inayostawi.
Mwandishi: Soma Biblia
ISBN: 9789987639311
Kurasa: 103
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.