Description
Neema ni miongoni mwa vitu vingine , kipawa chema cha ukristo kwa ulimwengu ni bure kwa watu wasiostahili. Ni ishara ya wazi ya uhuru wa mtu na hakuna mipaka ya kusamehe.
Kwa nia ya haraka haraka twahisi ya kwamba ni lazima tufanye jambo ili tuweze kukubaliwa na Mungu, Lakini huu ni upotofu kwa kuwa ni kwenda kinyume na Injili ya Yesu kristo, kwani alipokufa pale msalabani aliachilia msamaha uso na mwisho, aliachilia uponyaji usio na mwisho vyote hivi vikiwa vimejengwa ndani ya Neema ya Mungu kupitia Yesu bale Msalabani.
Ni kitabu kizuri sana, kutaka kujua nini tofauti kati ya neema, rehema na msamaha tulioupata pale msalabani kwa kupitia Yesu kristo, Kitabu kinafafanuliwa kwa mifano rahisi ili kwa kila mtu aweze kelewa.
Mwandishi: Philip Yancey
Tafsiri ya Kitabu: Amazing About Grace?
ISBN: 9789966201195.
Kurasa: 376.
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.