Description
Kitabu muhimu sana kwa viongozi wa sasa na wa baadaye.
Kila mtu anapaswa kusoma kitabu hiki ili aweza kujua.
Sifa za kiongozi
Viongozi waadilifu wanapatikanaje.
Changamoto kubwa kwa kanisa/jamii karne ya 21
Namna ya kutatua migogoro.
Mambo gani muhimu ya kujiandaa ukitaka kustafu uongozini.
Kwa nini watu wanaamua kuwa viongozi?
Mwandishi: Ask. Dornard Mtetemela
ISBN:9789976700275.
Kurasa:212
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.