Description
Kitabu kinachoeleze na kufundisha ufahamu kwa Wakristo kuhusu Uislamu ili kuweza kuwashuhudia Wokovu wa Bwana Yesu kristo, Pia kinafundisha Uislamu ni nini, Imani yao ni nini, Nguzo zao za uislamu ni nini, Maono ya muhammad,mahubiri yake, na Maisha yake kwa ujumla.
Mwandish anasisitiza Wakristo ni Muhimu Kuufahamu Muislamu na Uislamu wake.
Mwandishi:Davidi Brown
ISBN: 9789976661378
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.