Siri Za Maombi
Sh10,000 Sh8,000
Description
Mtu anapokuwa kwenye maombi anahitaji uvumilivu mkubwa sana, Wakati mwingine mtu anaomba mpaka kukata tamaa. Kumbe katika maombi kuna siri ya namna ya kuomba kwa mafanikio. Katika sura ya kwanza Mwandishi anasimulia jinsi alivyokuwa kwenye maombi ya kumuombea kaka yake kwa miaka bila ya matokeo. ila alipogundua siri za namna bora ya kuomba mara moja alipata matokeo ya maombi yake.
Katika kitabu hiki Mwandishi anapenda kukushirikisha hizi siri katika maombi ili kila mtu awe na uwezo wa kuomba na kuona matokeo katika maombi yake.
Mwandishi: Keneth E. hagin