Tafsiri Ya Ndoto 125
Sh10,000 Sh8,000
Categories: Vitabu, Vitabu vya Mafundisho mbalimbali
Tags: keneth onyeme, namna ya maombi ya ukombozi, tafsir ya ndoto
Description
kitabu hiki kinafundisha namna ya kutafsiri ndoto mbalimbali kwa njia rahisi na namna ya kufanya maombi ya ukombozi dhidi ya ndoto mbaya na kuombea mstakabali wa maisha yako. Mungu pia huongea nawe katika ndoto fahamu namna ya kujua ndoto za Ki-mungu na zile za kishetani.
Mwandishi:Mwj. Keneth Onyeme