Description
itabu vya kufundishia watoto (sunday school). Kitabu cha kwanza ni mafundisho ya Bwana Yesu, sehemu ya pili yaeleza habari ya watu flani katika Agano la Kale kwa hiyo kitabu kinatumika wakati wote wa mwaka.
Kitabu hiki kinajumuisha picha, ramani, kuchora nk.
Kitabu hiki kinakusudia kumuwezesha mwalimu kufuata njia nzuri za kufundishia
Vipo katika mfululizo wa vitabu 4
Cha kwanza.
cha Pili
Cha tatu
Tufundishe watoto wadogo (chekechea).
Kila kitabu shs 6,000/-
ISBN:9976660782,9789976660142,9789976662917,9789976662900.
Kina tolewa na CTP.
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.