Description
Kitabu kinafundisha na kimejikita katika masula ya uongozi wa kanisa na mashirika ya dini, Ni namna ganikani, kiongozi kiroho anapaswa kuenenda katika kazi zake. Mkazo wa mwandishi ni utauwa na maisha ambayo mtu kiongozi anatakiwa kuwa kielelezo kwa watu wengine. Kinaelekeza namna kiongozi anatakiwa kumkabidhi Yesu vipawa vyake Ili awe kiongozi ambaye Yeye bwana Yesu anaweza kukutumia kwa ajili ya utukufu wake.
Mwandishi: J.Oswald Sanders
ISBN: 9789976740462.
Kurasa: 168
You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.